Swali: Imani kwa mujibu wa madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah inayo kiwango katika madhambi. Anayeshuka chini ya kiwango hichi anakufuru. Kiwango hicho ni kipi?

Jibu: Kiwango cha uchache wake ni mbegu ya hardali. Hivo ndivo alivosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)[1]. Hakuna imani yoyote baada ya mbegu ya hardali.b

[1] Muslim (50).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ma´aalim Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 46
  • Imechapishwa: 29/05/2021