Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Watu waovu zaidi siku ya Qiyaamah ni mwanamume anayekaribiana na mke wake na mke anamkaribia, kisha anasambaza siri yake.”
Hili linafahamisha kwamba haijuzu kwa mwanamume kufichua siri ya mke wake wala haijuzu kwa mwanamke kufichua siri ya mume wake, kwa sababu kila mmoja hudhurika kwa kufichuliwa siri yake. Huenda ikawa ni siri isiyofaa watu kuijua. Kwa hivyo haifai kuifichua isipokuwa kwa idhini.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/2555/232-من-باب-حفظ-السر
- Imechapishwa: 12/03/2026
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Watu waovu zaidi siku ya Qiyaamah ni mwanamume anayekaribiana na mke wake na mke anamkaribia, kisha anasambaza siri yake.”
Hili linafahamisha kwamba haijuzu kwa mwanamume kufichua siri ya mke wake wala haijuzu kwa mwanamke kufichua siri ya mume wake, kwa sababu kila mmoja hudhurika kwa kufichuliwa siri yake. Huenda ikawa ni siri isiyofaa watu kuijua. Kwa hivyo haifai kuifichua isipokuwa kwa idhini.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/2555/232-من-باب-حفظ-السر
Imechapishwa: 12/03/2026
https://firqatunnajia.com/kiumbe-muovu-zaidi-siku-ya-qiyaamah/