Kitendo chake Mtume kinafahamisha kufaa

Swali: Ambaye anasema kwamba kugeuza mgongo imefutwa hukumu yake bila ya kuathiri kugeuza uso?

Jibu: Hapana, jambo hili ni lenye wasaa muda wa kuwa mtu yuko ndani ya jengo.

Swali: Je, inasemekana kwamba hukumu hii inahusiana tu wakati mtu anakuwa ndani ya jengo?

Jibu: Hili ni suala linahitaji kuangaliwa vyema. Maoni yaliyo karibu zaidi ni kwamba hakuna machukizo. Hata hivyo mtu anatakiwa kuchukua tahadhari na kuepuka masuala yenye makinzano, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alifanya hivyo ili kuwabainishia ummah ya kwamba inafaa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24710/حكم-استقبال-واستدبار-القبلة-عند-الخلاء
  • Imechapishwa: 30/11/2024