Swali: Katika muhadhara wako wa mwisho ulitaja kwamba muislamu apupie kusoma Adhkaar. Tunaomba mwongozo…
Jibu: Vipo vitabu. Kuna kitabu cha Adhkaar za an-Nawawiy. Miongoni mwa vitabu bora ni kitabu “´Amal-ul-Yawm wal-Laylah” cha an-Nasaa´iy. Kitabu hiki ni miongoni mwa vitabu bora vilivyoandikwa katika maudhui hii.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Khaatam-ul-Mursaliyn https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-10/lqa-mftoh-godian.mp3
- Imechapishwa: 01/10/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)