Swali: Unasemaje juu ya kitabu ”al-Intimaa’ ilaal-Firaq wal-Ahzaab wal-Jamaa´aat” kilichoandikwa na Bakr Abu Zayd?
Jibu: Napendekeza pia kisomwe. Ni kitabu chenye manufaa. Allaah amjaze kheri mtunzi wake. Sikuwa nafikiri kuwa vyama vitapata tena nafasi baada ya vitabu hivi vilivyotajwa, lakini Allaah ndiye mwenye kulalamikiwa. Watu wanaamka kisha baadaye wanarudi katika ughafilikaji wao.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 390
- Imechapishwa: 02/07/2025
Swali: Unasemaje juu ya kitabu ”al-Intimaa’ ilaal-Firaq wal-Ahzaab wal-Jamaa´aat” kilichoandikwa na Bakr Abu Zayd?
Jibu: Napendekeza pia kisomwe. Ni kitabu chenye manufaa. Allaah amjaze kheri mtunzi wake. Sikuwa nafikiri kuwa vyama vitapata tena nafasi baada ya vitabu hivi vilivyotajwa, lakini Allaah ndiye mwenye kulalamikiwa. Watu wanaamka kisha baadaye wanarudi katika ughafilikaji wao.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 390
Imechapishwa: 02/07/2025
https://firqatunnajia.com/kitabu-al-intimaa-cha-bakr-abu-zayd/