Swali: Unasemaje juu ya kitabu ”Waqafaat ma´ Kitaab ‘Lid-Du´aati faqatw’” cha al-´Ajmiy?
Jibu: Ni kitabu chenye manufaa ambacho napendekeza kisomwe. Watu wengi wamefaidika nacho. Kinabainisha uharibifu wa mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun. Kitabu hicho na kitabu ”at-Twariyq ilaa al-Jamaa´ah al-Umm”, cha ´Uthmaan bin ´Abdis-Salaam bin Nuuh, kutokana na ninavyojua hakuna mfano wake inapokuja katika kubainisha uharibifu wa mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 391
- Imechapishwa: 02/07/2025
Swali: Unasemaje juu ya kitabu ”Waqafaat ma´ Kitaab ‘Lid-Du´aati faqatw’” cha al-´Ajmiy?
Jibu: Ni kitabu chenye manufaa ambacho napendekeza kisomwe. Watu wengi wamefaidika nacho. Kinabainisha uharibifu wa mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun. Kitabu hicho na kitabu ”at-Twariyq ilaa al-Jamaa´ah al-Umm”, cha ´Uthmaan bin ´Abdis-Salaam bin Nuuh, kutokana na ninavyojua hakuna mfano wake inapokuja katika kubainisha uharibifu wa mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 391
Imechapishwa: 02/07/2025
https://firqatunnajia.com/vitabu-viwili-vya-kipekee-kuhusu-al-ikhwaan-al-muslimuun/