Kisomo cha Qur-aan kwa ajili ya matatizo ya kindoa

Swali: Kuna mwanamke alimpigia simu msomaji wa Ruqyah na kumshtakia matatizo alonayo yeye na mume wake. Mtu huyo akamwambia asome Suurah “ash-Shuuraa´” na “al-Israa´” wiki nzima na kwamba mume atarudi kuwa kama alivyokuwa mwanzoni.

Jibu: Huu ni uongo na uzushi. Haijuzu kumsadikisha katika hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (36) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2030%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 30/09/2020