Kipi kinachomlazimu mfungaji aliyemjamii mke wake kwa kutokujua hukumu?

Swali: Afanye nini ambaye amefanya tendo la ndoa hali ya kutokujua hukumu?

Jibu: Atalazimika kutoa kafara iliyotajwa hapo kabla. Hadiyth imetaja kwa kuachia.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 81
  • Imechapishwa: 19/03/2024