Swali: Nywele zinazokuwa shingoni ni ndevu?
Jibu: Ndevu ni nywele zinazoota kwenye mashavu na kwenye kidevu. Hizi ndio ndevu. Nywele zinazoota kwenye mashavu na kidevu. Mbali na hizo zote hazihesabiki kuwa ni ndevu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%2004-07-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)