Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia kipaza sauti wakati wa matabano kwa watu wengi na kutema mate kwa kila mmoja katika wao?
Jibu: Hili halijuzu. Huku ni kuchupa mpaka katika matabano. Si jambo limewekwa katika Shari´ah kuwasomea watu wengi na sambamba na hilo akamtemea mate kila mmoja, au kile kipaza sauti au wote.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 26/02/2022
Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia kipaza sauti wakati wa matabano kwa watu wengi na kutema mate kwa kila mmoja katika wao?
Jibu: Hili halijuzu. Huku ni kuchupa mpaka katika matabano. Si jambo limewekwa katika Shari´ah kuwasomea watu wengi na sambamba na hilo akamtemea mate kila mmoja, au kile kipaza sauti au wote.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
Imechapishwa: 26/02/2022
https://firqatunnajia.com/kipaza-sauti-na-spika-kwa-matabano-ya-watu-wengi/