Swali: Kila kiumbe kina mapungufu?
Jibu: Kila kiumbe kina upungufu. Kila kiumbe hakina ukamilifu. Ni lazima kiwe na upungufu. Kila kiumbe kuna upungufu. Ukamilifu ni wa Allaah (´Azza wa Jall). Miongoni mwa mapungufu ni kwamba kila kiumbe kinamuhitajia Allah. Hakiwezi kusimama kwa nafsi Yake isipokuwa kwa msaada wa Allaah. Kila kiumbe uwepo Wake ni kwa msaada wa Allaah. Bila ya Allaah asingelikuweko. Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) ana haki ya kumbakiza na ana haki ya kummaliza. Ule ukamilifu alioupata ni kutoka kwa Allaah. Hili ni jambo lisilokuwa na mashaka yoyote. Kila kiumbe ni kipungufu.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/15/%D8%A7%D9%84%D9%83%D9%85%D8%A7%D9%84-%D9%84%D9%84%D8%AE%D8%A7%D9%84%D9%82-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%82%D8%B5-%D9%84%D9%84%D9%85%D8%AE%D9%84%D9%88%D9%82
- Imechapishwa: 19/01/2020
Swali: Kila kiumbe kina mapungufu?
Jibu: Kila kiumbe kina upungufu. Kila kiumbe hakina ukamilifu. Ni lazima kiwe na upungufu. Kila kiumbe kuna upungufu. Ukamilifu ni wa Allaah (´Azza wa Jall). Miongoni mwa mapungufu ni kwamba kila kiumbe kinamuhitajia Allah. Hakiwezi kusimama kwa nafsi Yake isipokuwa kwa msaada wa Allaah. Kila kiumbe uwepo Wake ni kwa msaada wa Allaah. Bila ya Allaah asingelikuweko. Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) ana haki ya kumbakiza na ana haki ya kummaliza. Ule ukamilifu alioupata ni kutoka kwa Allaah. Hili ni jambo lisilokuwa na mashaka yoyote. Kila kiumbe ni kipungufu.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/15/%D8%A7%D9%84%D9%83%D9%85%D8%A7%D9%84-%D9%84%D9%84%D8%AE%D8%A7%D9%84%D9%82-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%82%D8%B5-%D9%84%D9%84%D9%85%D8%AE%D9%84%D9%88%D9%82
Imechapishwa: 19/01/2020
https://firqatunnajia.com/kila-kiumbe-ni-kipungufu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)