Swali: Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kumi na nane na hutoa darsa na mawaidha msikitini. Mmoja katika watu akanikataza na kunambia kuwa bado niko mdogo na sijasoma. Je, kunikataza kwake ni sahihi?
Jibu: Sisi hatutazami umri. Tunachotazama ni elimu. Ikiwa una elimu ni sawa. Haijalishi kitu ikiwa uko mkubwa au mdogo. Lakini hata hivyo haijuzu kwako kufanya hivo ikiwa kama huna elimu hata kama utakuwa mkubwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-28.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)