Kichinjwa kimoja kwa ajili ya Udhhiyah na ´Aqiyqah

Swali: Inafaa kukusanya kati ya Udhhiyah na ´Aqiyqah  wakati ukikutana?

Jibu: Haijuzu. Kila kimoja kiko kivyake. Mbuzi mmoja hawi ni wa Udhhiyah na wakati huohuo akawa ni wa ´Aqiyqah. Kila kimoja kina hukumu zake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Sunan-it-Tirmidhiy (235)
  • Imechapishwa: 18/07/2020