Swali: Nilikuwa naswali na nikatabasamu ndani ya swalah tabasamu iliokuwa kubwa ambayo ilitoa sauti yangu. Je, juu yangu nina kitu?
Jibu: Huku sio kutabasamu. Huku ni kucheka. Sauti inayotoa herufi nje sio tabasamu. Ikiwa una uhakika ulifanya hivo irudi swalah yako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (59) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-21.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Nilikuwa naswali na nikatabasamu ndani ya swalah tabasamu iliokuwa kubwa ambayo ilitoa sauti yangu. Je, juu yangu nina kitu?
Jibu: Huku sio kutabasamu. Huku ni kucheka. Sauti inayotoa herufi nje sio tabasamu. Ikiwa una uhakika ulifanya hivo irudi swalah yako.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (59) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-21.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kicheko-kinavunja-swalah/