Kiarabu ndio lugha ya watu wa Peponi?

Swali: Je, ni sahihi ya kwamba lugha ya watu wa Peponi itakuwa ni kiarabu?

Jibu: Yamepokelewa lakini hata hivyo hayakuthibiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-6.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020