Swali: Kunaulizwa kuhusu kuwaendea makuhani na hukumu yake.
Jibu: Ni haramu kuwaendea makuhani kwa ajili ya matibabu na mfano wa hayo. Haijalishi kitu hata kama mtu ataamini kuwa dawa iko mikononi mwa Allaah na yale wanayofanya ni sababu tu.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/413)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket