Swali: Baadhi ya makundi huzingatia kila jambo jema linalowatokea kuwa ni  karama. Je, ni sahihi?

Jibu: Mizani ya haki ni: Akinyooka sawasawa juu ya haki, yale mema yanayomtokea ni karama, na yale majanga yanayomtokea ni mtihani na kumtia adabu. Ni kama mfano wa yaliyowatokea waislamu siku ya Badr na siku ya Uhud.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23171/ما-ضابط-الكرامة-فيما-يحدث-للفرد-والجماعة
  • Imechapishwa: 18/11/2023