Swali: Ni ipi hukumu ya kufungua biashara na kafiri?

Jibu: Haina neno kushirikiana na kafiri ikiwa biashara hiyo ni ya halali. Ikiwa muislamu ndiye ambaye anasimamia kampuni, haina neno. Hata hivyo haifai ikiwa inasimamiwa na kafiri, kwa sababu atauza pombe, nguruwe na venginevyo. Haijuzu. Inafaa kwa muislamu kufungua kampuni kwa sharti muislamu huyo ndiye ambaye awe anasimamia kazi hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (30)
  • Imechapishwa: 19/02/2022