Kafiri wa kazini kwako ana haki juu yako ya kumlingania

Swali: Makafiri ambao wanafanya kazi pamoja na sisi kwenye kampuni miongoni mwa wamasihi, wahinduki na manaswara wana haki zipi juu yetu na sisi tuna haki zipi juu yao? Vipi tunaweza kutangamana nao ili tusitumbukie katika kuwapenda?

Jibu: Walinganieni katika Uislamu, waamrisheni mema na kuwakataza maovu na watendeeni wema pamoja na kuchukia ile kufuru na upotevu waliyomo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/43)
  • Imechapishwa: 24/08/2020