Swali 146: Je, inafaa kwa makafiri kujenga misikiti?

Jibu: Hapana, hawaaminiki. Bali inatakiwa kujengwa na waislamu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 70
  • Imechapishwa: 27/03/2025