Kafiri ambaye atapunguziwa adhabu

Swali: Je, uombezi wake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa makafiri ni kwa ajili ya kupunguziwa adhabu peke yake?

Jibu: Kwa Abu Twaalib[1] peke yake kwa ajili ya kupunguziwa adhabu.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/02-adhabu-ndogo-kabisa-ya-mtu-wa-motoni/

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24562/هل-توجد-شفاعة-من-النبي-للكفار
  • Imechapishwa: 01/11/2024