Swali: Mwanamme amemjamii mke wake mchana wa Ramadhaan mara nyingi kabla ya kutoa kafara. Je, itatosha kutoa kafara moja au kafara kwa kila jimaa?
Jibu: Ikiwa alilala naye mara nyingi katika siku moja, atatoa tu kafara moja. Lakini kama alifafanya hivo masiku mbalimbali, basi kila siku ina kafara yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 12/05/2023