Swali: Ni sahihi kwamba inatakiwa kujadiliana na mpinzani kwa mantiki yake, fikira zake na madhehebu yake na si kwa mantiki na madhehebu yako?
Jibu: Usijadiliane naye si kwa mantiki yake wala yako. Jadiliana naye kwa dalili kutoka katika Qur-aan na Sunnah. Jadiliana naye kwa dalili ya Qur-aan na Sunnah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)