Josho la kuondosha joto na kunuia wudhuu´

Swali: Je, akioga hali ya kunuia kuondosha joto na wakati huohuo akanuia kutia wudhuu´ inasihi?

Jibu: Haishi. Ni lazima iwe wudhuu´ unaokubalika katika Shari´ah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25201/هل-يجزى-غسل-التبرد-عن-الوضوء
  • Imechapishwa: 21/02/2025