Swali: Je, kutumia Siwaak wakati wa kusikiliza Khutbah kunahesabika ni kufanya upuuzi?
Jibu: Asiswaki, asifanye mchezo. Asitumie Siwaak wala asifanye kitu kingine.
Swali: Akifanye hivo anazingatiwa kuwa amefanya upuuzi?
Jibu: Kunakhofiwa juu yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25205/ما-حكم-استعمال-السواك-اثناء-خطبة-الجمعة
- Imechapishwa: 21/02/2025
Swali: Je, kutumia Siwaak wakati wa kusikiliza Khutbah kunahesabika ni kufanya upuuzi?
Jibu: Asiswaki, asifanye mchezo. Asitumie Siwaak wala asifanye kitu kingine.
Swali: Akifanye hivo anazingatiwa kuwa amefanya upuuzi?
Jibu: Kunakhofiwa juu yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25205/ما-حكم-استعمال-السواك-اثناء-خطبة-الجمعة
Imechapishwa: 21/02/2025
https://firqatunnajia.com/wakati-wa-khutbah-ya-ijumaa-hakuna-siwaak-wala-kitu-kingine/