Swali: Je, ni katika Sunnah mtu akiingia kwa watu waliokaa kuwasalimia kwa kuwaashiria mkono pasina kupeana nao mkono?
Jibu: Ikiwa ametoka katika safari, apeane nao mikono. Ama ikiwa yuko katika mji na hakutoka safari inatosheleza kwake kuwatolea salamu. Hili linatosheleza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13221
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Je, ni katika Sunnah mtu akiingia kwa watu waliokaa kuwasalimia kwa kuwaashiria mkono pasina kupeana nao mkono?
Jibu: Ikiwa ametoka katika safari, apeane nao mikono. Ama ikiwa yuko katika mji na hakutoka safari inatosheleza kwake kuwatolea salamu. Hili linatosheleza.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13221
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/jinsi-ya-kuwasalimia-kundi-la-watu-waliokaa-katika-kikao/