Jina la Allaah wakati wa kuchinja wanyama wengi

Swali: Kwa mfano wakati wa kuchinja kondoo mia, je, inatosheleza kutaja jina la Allaah mara au hapana?

Jibu: Taja jina la Allaah kwa kila kondoo. Ikiwa uko na ala yenye makali ambayo inaweza kukata mara moja mbio mbio [kwa pamoja zote] na ukataja jina la Allaah mara moja, twataraji hakuna neno – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=6906
  • Imechapishwa: 04/12/2014