Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma vitabu vya mayahudi na manaswara kwa ajili ya kujizidishia maarifa?
Jibu: Hivi umesoma vitabu vya waislamu, ukavifahamu na kuviimarisha mpaka uwe ni mwenye kustahiki kusoma vitabu vya mayahudi, manaswara na wapotevu? Hukukingwa na makosa. Unaweza ukaathirika navyo. Jiepushe navyo. Ikiwa una ari ya kusoma basi soma vitabu yenye manufaa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–14330804.mp3
- Imechapishwa: 09/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)