Swali: Je, inafaa kwa mtu kumuuliza ndugu yake ikiwa yuko na sifa miongoni mwa sifa za wanafiki, kama alivyokuwa akifanya ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh)?

Jibu: Sijui kipingamizi ili aweze kumwelekeza. Ikiwa unajua chochote kutoka kwangu basi nielekeze. Hapana neno kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23495/هل-للرجل-ان-يسال-اخاه-هل-فيه-نفاق
  • Imechapishwa: 28/01/2024