Swali: Vipi wanaraddiwa Murji-ah?

Jibu: Matendo ni sehemu katika imani. Inazidi na kushuka. Madhambi yanaishusha, mauaji yanaishusha, mambo ya pumbao, matusi na magomvi yanaishusha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/كيف-يكون-الرد-على-المرجىة-في-الايمان
  • Imechapishwa: 27/01/2024