Swali: Je, Sutrah ni lazima?
Jibu: Sunnah. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Anaposwali mmoja wenu basi aswali kwa kuielekea Sutrah na aisogelee.”
Isitoshe imethibiti kwa an-Nasaa´iy na kwa wengine ya kwamba baadhi ya nyakati ameswali (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pasi na kuielekea Sutrah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23667/هل-السترة-للمصلي-واجبة-ام-مستحبة
- Imechapishwa: 26/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)