Je, mlinzi wa Moto ni katika Malaika?

Swali: Je, mlinzi wa Moto ni katika Malaika?

Jibu: Ndio:

وَنَادَوْا يَا مَالِكُ لِيَقْضِ عَلَيْنَا رَبُّكَ ۖ قَالَ إِنَّكُم مَّاكِثُونَ

”Na wataita ´Ee Maalik, Atumalize fufe Mola wako`, atasema ´Hakika nyinyi ni wenye kubakia humo`.[1]

[1] 43:77

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23394/هل-خازن-جهنم-من-الملاىكة
  • Imechapishwa: 11/01/2024