Swali: Je, kuna tofauti kati ya kufuta ndoa na talaka?
Jibu: Hakimu ndiye ambaye ana haki ya kufuta ndoa na mume ndiye anatoa talaka.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 28/07/2023