Je, kuna sifa maalum juu ya ile misikiti saba na msikiti wa Hudaybiyah?

Swali: Yale yanayoitwa misikiti saba na msikiti wa Hudaybiyah ni mambo yana sifa maalum?

Jibu: Hapana kabisa. Haina sifa yoyote maalum, ina sifa ya kikhurafi. Hii ni misikiti ya kikhurafi. Ni lazima kuibomoa na kuiondosha. Hata hivyo msikiti wa Hudaybiyah una maafisa wa polisi na watu wanaoswali ndani yake, kwa ajili hiyo utaachwa kwa sababu hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
  • Imechapishwa: 12/07/2024