Je, kumesihi kitu kuhusu Hadiyth za nusu Sha´baan?

Swali: Je, kumesihi kitu kuhusu Hadiyth za nusu Sha´baan?

Jibu: Hapana. Hakukusihi zaidi ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifunga kwa wingi katika Sha´baan. Hili ndio limesihi kutoka kwake. Baada ya hapo hakukusihi kitu katika usiku wala mcahna wa nusu Sha´baan.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 28/04/2023