Swali 279: Je, inafaa kwa wanawake kuyatembelea makaburi ya al-Baqiy´?
Jibu: Ni haramu kwa mwanamke kuyatembelea makaburi, ni mamoja ya al-Baqiy´ au mengine. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi. Kwa tamko hili ni Swahiyh au nzuri.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/319)
- Imechapishwa: 28/05/2022
Swali 279: Je, inafaa kwa wanawake kuyatembelea makaburi ya al-Baqiy´?
Jibu: Ni haramu kwa mwanamke kuyatembelea makaburi, ni mamoja ya al-Baqiy´ au mengine. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi. Kwa tamko hili ni Swahiyh au nzuri.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/319)
Imechapishwa: 28/05/2022
https://firqatunnajia.com/je-inafaa-kwa-wanawake-kuyatembelea-makaburi-ya-al-baqiy/