Swali: Je, umesikia kuhusu Jamaa´at-ut-Tabliygh na kutoka kwa wanawake? Je, nitoke pamoja nao ilihali bado sijajifunza dini kwa sasa?

Jibu: Kumesemwa mengi kuhusu Jamaa´at-ut-Tabliygh. Sikunasihi kutoka pamoja nao. Lazimiana na wanazuoni na darsa na usikilize kanda za wanazuoni wenye kuaminika na ambao elimu yao imebobea.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Kariym bin ´Abdillaah al-Khudhwayr
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.khudheir.com/text/4694
  • Imechapishwa: 28/05/2022