Swali: Ni yepi maoni yako kuhusu kundi la al-Ikhwaan al-Muslimuun na Jamaa´at-ut-Tabliygh? Je, unapendekeza kwenda na kutoka nao?

Jibu: Nasaha zangu kwako ni wewe kulazimiana na njia inayotambulika kwa watu wa ukaguzi. Makundi haya mawili wanazuoni wameyazungumzia sana. Unaweza vilevile kutangamana na kulazimiana na wale ambao dhimma imetakasika kwa kuwaigiliza.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Kariym bin ´Abdillaah al-Khudhwayr
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://ar.islamway.net/fatwa/37527/ما-رأيك-في-جماعة-الإخوان-والتبليغ
  • Imechapishwa: 28/05/2022