Je, inafaa kukata ndevu kiasi kidogo tu?

Swali: Je, inafaa kukata ndevu kiasi kidogo tu?

Jibu: Haifai kukata chochote katika ndevu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Punguzeni masharubu na ziacheni ndevu… ”[1]

Haijuzu kabisa kuzigusa ndevu kwa hali yoyote ile.

[1] Muslim, Abu ´Awaanah, al-Bayhaqiy na Ahmad.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 01/04/2024