Swali: Mtu akifunga na swawm yake ni yenye kupendeza kisha akala katikati ya mchana – je, anapata thawabu za swawm yake?
Jibu: Anapata thawabu za alichofunga mpaka wakati alipofungua. Ambaye anafunga swawm inayopendeza inafaa kwake kufungua. Anapata thawabu za alichofunga mpaka pale alipofungua.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/16159/هل-يوجر-المتنفل-اذا-افطر-قبل-ان-يتم-يومه
- Imechapishwa: 26/03/2023