Je, anapata thawabu aliyekatisha swawm yake na asiitimize?

Swali: Mtu akifunga na swawm yake ni yenye kupendeza kisha akala katikati ya mchana – je, anapata thawabu za swawm yake?

Jibu: Anapata thawabu za alichofunga mpaka wakati alipofungua. Ambaye anafunga swawm inayopendeza inafaa kwake kufungua. Anapata thawabu za alichofunga mpaka pale alipofungua.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/16159/هل-يوجر-المتنفل-اذا-افطر-قبل-ان-يتم-يومه
  • Imechapishwa: 26/03/2023