Je, al-Faatihah ni katika Adhkaar za asubuhi na jioni?

Swali: Je, kumethibiti kitu kuhusu ”al-Faatihah” kuwa ni katika Adhkaar za asubuhi na jioni?

Jibu: Sikumbuki kuwa kuna kitu kilichothibiti kuhusu hilo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27636/هل-الفاتحة-من-اذكار-المساء-والصباح
  • Imechapishwa: 12/04/2025