Je, akamilishe swalah yake aliyepata hadathi ndani ya swalah?

Swali: Wale waliosema kuwa aliyepata hadathi katika Rak´ah ya nne au ya tatu, basi anaweza kutawadha na kuikamilisha swalah yake…

Jibu: Hapana, hiyo si sahihi. Akipatwa na hadathi basi swalah yake imebatilika. Katika hali hiyo atatakiwa kuianza mwanzo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27486/من-احدث-في-الصلاة-هل-يكمل-بعد-التطهر-او-يعيد
  • Imechapishwa: 10/04/2025