Swali 683: Inafaa kumlazimisha msichana kuolewa na ambaye hayuko radhi yake?
Jibu: Haifai kwa baba yake kumlazimisha wala haifai kwa mama yake kumlazimisha kuolewa japokuwa watakuwa ni wenye kuridhia dini yake [huyo mwanaume].
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Naaswir as-Sa´diy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 265
- Imechapishwa: 25/08/2019
Swali 683: Inafaa kumlazimisha msichana kuolewa na ambaye hayuko radhi yake?
Jibu: Haifai kwa baba yake kumlazimisha wala haifai kwa mama yake kumlazimisha kuolewa japokuwa watakuwa ni wenye kuridhia dini yake [huyo mwanaume].
Muhusika: Imaam Muhammad bin Naaswir as-Sa´diy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 265
Imechapishwa: 25/08/2019
https://firqatunnajia.com/itafaa-kumlazimisha-msichana-kuolewa-akipata-mchumba-mwema/