Istikhaarah kwa ajili ya kazi ya uimamu

Swali: Mwenye kutaka kuomba kazi ya kuwa imamu wa msikiti, je, ni imesuniwa kwake kuswali swalah ya Istikhaarah?

Jibu: Kila jambo ambalo lina utata imesuniwa kwa ajili yake kuswali swalah ya Istikhaarah.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
  • Imechapishwa: 19/09/2026