Swali: Ikiwa msafiri amefika katika mji ambao si mji wake, na amenuia kukaa humo chini ya siku nne, je, analazimika kuswali swalah ya mkusanyiko ikiwa msikiti uko karibu naye na anasikia adhaana?
Jibu: Ndiyo. Hana ruhusa kuswali peke yake ikiwa anasikia adhaana, kwa sababu swalah ya mkusanyiko ni wajibu wakati wa kuwa mkazi na wakati wa safari. Ama ikiwa ni kundi la wasafiri na wakapenda kuswali peke yao, basi wanaweza kufanya hivyo. Vilevile wanaweza pia kuswali pamoja na watu.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 19/09/2026
Swali: Ikiwa msafiri amefika katika mji ambao si mji wake, na amenuia kukaa humo chini ya siku nne, je, analazimika kuswali swalah ya mkusanyiko ikiwa msikiti uko karibu naye na anasikia adhaana?
Jibu: Ndiyo. Hana ruhusa kuswali peke yake ikiwa anasikia adhaana, kwa sababu swalah ya mkusanyiko ni wajibu wakati wa kuwa mkazi na wakati wa safari. Ama ikiwa ni kundi la wasafiri na wakapenda kuswali peke yao, basi wanaweza kufanya hivyo. Vilevile wanaweza pia kuswali pamoja na watu.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 19/09/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-mkusanyiko-ni-wajibu-katika-ukazi-na-safarini/