Isti´aadhah pekee mtu akianza kusoma katikati ya Suurah

Swali: Tukisoma Qur-aan kuanzia katikati ya Suurah tunaanza kwa kuomba ulinzi dhidi ya shaytwaan au tunaanza kwa kusema “Bismillaahi ar-Rahmaan ar-Rahiym”?

Jibu: Ikiwa umeanza kusoma kuanzia mwanzoni mwa Suurah basi utatakiwa kuomba ulinzi dhidi ya shaytwaan na kuleta Basmalah. Ama ukianza kusoma katikati ya Suurah utatakiwa kuomba ulinzi dhidi ya shaytwaan.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (13) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191589#219913
  • Imechapishwa: 08/02/2020