Ipo du´aa inayotosheleza kutokamana na Sujuud ya kisomo?

Swali: Nimesikia kuwa ipo du´aa inayotosheleza kutokamana na sujuud ya kisomo. Ni upi usahihi wa hilo?

Jibu: Halina msingi. Ni maoni miongoni mwa maoni ya Hanafiyyah. Kwa sababu wao wanaona kuwa sujuud ya kisomo ni lazima. Kwa ajili hiyo wakaiwekea badali.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 43
  • Imechapishwa: 01/07/2022