Swali: Je, inatosha kufanya kipimo cha DNA ili kuthibitisha ubaba wa mwanamme kwa mtoto?

Jibu: Hapana, haitoshi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 13/05/2023