Inapendeza kulala usiku na wudhuu´

Swali: Kuhusiana na twahara pindi mtu anapotaka kulala ajitwahirishe katika usingizi wa usiku na mchana?

Jibu: Hapana. Hilo limepokelewa katika usingizi wa usiku. Anapotaka kulala usiku.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23114/هل-يستحب-الوضوء-في-نوم-الليل-والنهار
  • Imechapishwa: 04/11/2023